Utafiti wa Infotrak unaonesha Rais Ruto amepata matokeo duni ya ahadi za kiuchumi baada ya serikali yake kuondoa ruzuku kwa bidhaa msingi
Your browser doesn’t support HTML5
Utafiti huo uliofanywa kati ya Disemba 21 na Disemba 22 mwaka huu unaonesha katika kipindi cha siku 100 madarakani Rais wa Kenya, William Ruto ameshindwa kufanya bei ya chakula kuwa nafuu na kupatikana kwa urahisi kwa raia wa Kenya