IMF imepitisha mkopo wa dola milioni 447 kwa Kenya baada ya kutathmini program zake za mikopo
Your browser doesn’t support HTML5
Deni la umma la kenya lilikuwa limeanza kupungua kutokana na maendeleo ya kuchanganyisha pamoja sera zake za fedha, shirika la fedha la kimataifa (IMF) imesema katika taarifa yake na kuongeza kuwa imetenga fedha za ziada chini ya wizara iliyopo sasa nchini humo