Mlima wa volcano Mauna Loa, Hawaii unalipuka baada ya miaka 38 na kuwavutia watalii na wanasayansi
Your browser doesn’t support HTML5
Volcano kubwa kabisa duniani inaendelea kurusha moshi na matope ya moto hewani na kuwavutia watalii na wanasayansi wakishuhudia mito ya moto ikikaribia barabara kuu kisiwani humo.