Wasomi nchini Tanzania wanaiomba serikali kuanzisha makumbusho ya Bibi Titi Mohamed yawe chachu ya maendeleo kwa wanawake na uongozi

Your browser doesn’t support HTML5

Miongoni mwa wasomi hao Profesa Aldin Mutembei na Profesa Shani Omary wanasema mchango na maono ya Titi Mohamed na harakati zake za kupigania uhuru wa Tanganyika itasaidia vizazi vya sasa na kupanua wigo kwa wanawake kujitokeza kwa nafasi mbalimbali wasisubiri kuwezeshwa