Raia wa Tunisia wanapiga kura Jumamosi kuchagua bunge ambalo kwa kiasi kikubwa limepokonywa madaraka yake chini ya mfumo uliowekwa 2021
Your browser doesn’t support HTML5
Zaidi ya muongo mmoja tangu mapinduzi maarufu nchini Tunisia yaliyomuondoa madarakani dikteta Zine El Abidine Ben Ali vyama vya upinzani vimehimiza kususia uchaguzi huo ambao wanasema ni sehemu ya mapinduzi dhidi ya demokrasia pekee iliyojitokeza kutokana na vuguvugu la mapinduzi ya kiarabu ya 2011