Waasi wa M23 wamekubali kuacha vita huku Marekani ikitishia kuwawekea vikwazo wanaovuruga mchakato wa demokrasia Sudan

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.