Guterres aeleza matumaini kwamba hali itaimarika Tigray baada ya kusitishwa kwa vita
Your browser doesn’t support HTML5
Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonio Guterres amesifu hatua ya kusitisha vita katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, wakati wa ziara yake ya kwanza tangu vita kati ya wanajeshi na wapiganaji wa Tigray vilipoanza miaka miwili iliyopita.