Senegal yafuzu kuingia raundi ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia
Your browser doesn’t support HTML5
Timu ya taifa ya Senegal Simba wa Teranga imekuwa ya kwanza ya Afrika kufanikiwa kuingia kwenye raundi ya 16 katika michuano ya mwaka huu baada ya kuifunga Ecuador bao 2-1.