Rais wa zamani wa Comoros ahukumiwa kifungo cha maisha gerezani

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa zamani wa Comoro Ahmed Abdallah Sambi, 64, amefungwa kifungo cha maisha gerezani baada ya kuwa katika kizuizi cha nyumbani kwa karibu miaka mitano bila kufikishwa mahakamani hadi Jumatatu wiki iliyopita alipoufunguliwa mashtaka ya uhaini.