Viongozi wa Jumuia ya Afrika mashariki wakutana Nairobi wiki hii kwenye mazungumzo ya amani ya kudumu kwa ajili ya DRC.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.