Wakati viongozi wa kimataifa wanapokutana Misri kwenye mkutano wa kimazingira wa COP27, je vijana wameshirikishwa vilivyo?

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.