Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga adai utawala mpya wa rais Ruto unawalenga baadhi ya maafisa kwenye utawala wa zamani.

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.