Washukiwa wanajihadi wamewavamia na kuwaua wanajeshi 13 katika jimbo la mashariki nchini Burkina Faso

Your browser doesn’t support HTML5

Wanajeshi wanne wa jeshi la ulinzi pia walijeruhiwa katika shambulio la Jumamosi kwenye barabara inayounganisha Fada N'Gourma na Natiaboani, moja ya vyanzo hivyo vimesema