Waasi wa M23 wameteka miji miwili mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC)

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yaliongezeka karibu na ujirani wa Rutshuru na eneo la Kiwanja siku ya Jumamosi huku milio ya risasi ikizuka wakati wa asubuhi