Elon Musk ameanza rasmi kumiliki mtandao wa Twitter na amewafukuza kazi wakurugenzi watatu

Your browser doesn’t support HTML5

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Tesla, Elon Musk ameanza rasmi kumiliki Twitter baada ya miezi kadhaa ya malumbano ya kisheria. Pia amewafukuza kazi viongozi watatu walioshikilia nafasi za juu katika mtandao huo wa Twitter