VOA Express: Tunaangazia swala la mikopo ya benki kwa vijana wajasariamali Afrika mashariki

Your browser doesn’t support HTML5

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.