Jioni: Waziri wa fedha wa zamani wa Uingereza Rishi Sunak, anaongoza katika kinyang’anyiro cha kuwania kuwa waziri mkuu mpya wa Uingereza
Your browser doesn’t support HTML5
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.