Malawi yagundua kaburi lenye mili 25 inayoshukiwa kuwa ya raia wa Ethiopia

Your browser doesn’t support HTML5

Malawi imegundua kaburi la halaiki kaskazini mwa nchi hiyo lenye mabaki ya watu 25 wanaoshukiwa kuwa wahamiaji kutoka Ethiopia, polisi walisema Jumatano.