Jeshi la Congo lashutumiwa na HRW kushirikiana na waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch, HRW, pamoja na kundi la uasi la M23 wamedai kwamba jeshi la DRC limekuwa likiunga mkono kundi hatari la waasi wa Kihutu kutoka Rwanda, kwenye ghasia zinazoendelea mashariki mwa taifa hilo.