Undani yaangazia tishio la waasi wa M23 kuiteka miji zaidi katika jimbo la Kivu Kaskazini huko DRC
Your browser doesn’t support HTML5
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.