Wananchi DRC wataka UN kutangaza mauaji ya mara kwa mara kuwa ya kimbari
Your browser doesn’t support HTML5
Wakazi wa Beni, Kivu kaskazini, na Ituri wameiomba serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa kutangaza mauaji ya mara kwa mara katika eneo lao kuwa ya kimbari.