Uganda na WHO wanapanga kujaribu chanjo mbili za virusi vya Ebola
Your browser doesn’t support HTML5
Uganda na WHO wanapanga kujaribu chanjo mbili za virusi vya Ebola ya Sudan ili kujaribu kuzuia kuenea kwa ugonjwa huo nadra. Virusi hivyo hadi sasa vimeuwa watu 19 na kuwaambukiza takriban watu 54 katika wilaya tano nchini Uganda.