Papa Francis ametoa utetezi mkali dhidi ya wahamiaji akitaja kuwa kutengwa kwao ni "Kashfa, karaha na dhambi"
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis aliyasema hayo alipomsimika askofu wa karne ya 19 anayejulikana kama "baba wa wahamiaji" na mtu wa karne ya 20 ambaye alihudumia wagonjwa nchini Argentina. Matamshi ya Papa yanamuweka katika mgongano na serikali ijyo ya mrengo wa kulia ya Italia