Spika wa Bunge la Kenya ashutumiwa kwa "kujitwika madaraka"

Your browser doesn’t support HTML5

Wabunge wa upinzani nchini Kenya chini ya Muungano wa Azimio La Umoja One Kenya wametaja uamuzi wa Alhamisi wa Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula kuukabidhi Muungano wa Kenya Kwanza wa Rais William kuwa Kiongozi wa Walio Wengi katika Bunge hilo kama utekwaji nyara wa bunge.