Tanzania: Ajira kwa vijana
Your browser doesn’t support HTML5
Vijana wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania washauriwa kuachana na dhana ya kusubiria serikali iwaajiri, badala yake wajiingize katika shughuli za ujasiriamali na kazi za mikono.
Your browser doesn’t support HTML5