Raia wa Jamhuri ya Kidemokraisia wasema kwamba wanatarajia usalama kuimarishwa na wakuu wapya wa jeshi.
Your browser doesn’t support HTML5
Matumaini hayo mapya ni kufuatia mabadiliko ya Jumatatu, yaliyotangazwa na rais Felix Tshisekedi, wakati usalama ukiwa umedorora sana mashariki mwa taifa.