Raia wa Brazil wamepiga kura Jumapili katika uchaguzi wa kwanza uliokumbwa na mgawanyiko wa kisasa kati ya Lula na Bolsonaro
Your browser doesn’t support HTML5
Ukusanyaji wa maoni umemuonyesha Lula da Silva akiongoza kwa miezi kadhaa lakini Jair Bolsonaro aliyeko madarakani ameashiria huenda akakataa kukubali kushindwa hali inayozua hofu ya mgogoro wa kitaasisi au ghasia za baada ya uchaguzi