Muaji yatokea wakati wa maandamano dhidi ya M23, DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Mtu mmoja ameuawa na wawili kujeruhiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Alhamisi wakati wa maandamano dhidi ya kundi la M23, Maafisa wa serikali katika eneo hilo wamesema.