Ruto, Kagame waelezea UN matarajio yao kuhusu changamoto zinazokumba ukanda wa maziwa makuu
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Rwanda Paul Kagame Jumatano aliuambia mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba matatizo ya usalama yanayoikumba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni ya kisiasa na yanahitaji suluhu la kisiasa, huku kiongozi wa Kenya William Ruto akisistiza umuhimu wa mageuzi kwenye mfumo wa UN