Madaktari Kenya wapokea vyema pendekezo la matibabu ya chemotherapy bila kikomo kwa watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Watoto walio na saratani nchini Kenya hivi karibuni huenda wakapata vipindi vya chemotherapy bila kikomo ikiwa mapendekezo mapya ya Wizara ya Afya nchini humo yatapitishwa.