Serikali ya Nigeria yaombwa kuhamasisha wanawake ili kuwatayarisha kujiunga kwenye nafasi za uongozi.

Your browser doesn’t support HTML5

Wito huo umetolewa wakati shinikizo likitolewa kwa wanawake kushiriki vilivyo katika kuwania nafasi za kisiasa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka ujao.