Rais Samia aomba viongozi wa Afrika kuwawezesha wanawake na vijana
Your browser doesn’t support HTML5
Akizindua kongomano la kimataifa la eneo huru la biashara Afrika jijini Dar Es Salaam, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi za Afrika kuwekeza kwenye rasilimali watu, hasa wanawake na vijana kwa sababu wana mchango mkubwa kwa kukuza uchumi na biashara.