Uuzaji wa nafaka nje ya Tanzania watajwa kama kichocheo kikubwa cha kupanda kwa gharama ya maisha
Your browser doesn’t support HTML5
Baadhi ya Watanzania wanaitaka serikali kuingilia kati ili kupunguza gharama ya maisha inayozidi kupanda na wanapendekeaza kusitishwa au kudhibitiwa kwa uuzaji wa nafaka nje ya nji kama njia mojawapo ya kukabiliana na hali hiyo.