Ruto aahidi kushirikiana na wapinzani wake

Your browser doesn’t support HTML5

Rais mteule wa Kenya William Ruto Jumatatu ameahidi kushirikiana na wapinzani wake baada ya mahakama ya juu ya nchi hiyo kuhalalisha ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Agosti 9, kufuatia mpambano wa kisheria na mpinzani wake Raila Odinga.