Wakazi wa mkoa wa Tanganyika DRC waomba kupewa boti salama ili kuzuia ajali.

Your browser doesn’t support HTML5

Wakazi hao wanadai kwamba boti za kisasa na salama zinahitajika kwenye usafiri kwenye ziwa Tanganyika ili kuzuia ajali za boti za mara kwa mara.