Wanamgambo wa Al-Shabaab waliwauwa takribani raia 18 na waliharibu malori yaliyobeba chakula cha msaada katika mkoa wa kati nchini Somalia

Your browser doesn’t support HTML5

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.