Ukatili wa nyumbani waendelea kuripotiwaTanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Mtu mmoja nchini Tanzania anashutumiwa kumuua mkewe kwa kumdunga kisu mara kadhaa, tukio ambalo limesababisha hali ya taharuki huku visa vya ukatili ya nyumbani vikiendelea kuongezeka.