Uingereza kujua waziri mkuu mpya wiki ijayo.

Your browser doesn’t support HTML5

Wajumbe wa konsavative wanatarajiwa kuchagua aliyekuwa chancellor Rishi Sunak, au waziri wa kigeni wa sasa Liz Truss ambaye kura ya maoni inaonyesha akiwa mbele.