Russia na Ukraine zatupiana shutuma za kuanzisha mashambulizi karibu na kinu cha nyuklia

Your browser doesn’t support HTML5

Russia na Ukraine siku ya Jumatano zilitupiana shutuma za kuanzisha mashambulizi mapya karibu na kinu cha nyuklia kusini mwa Ukraine ambayo yameibua wasiwasi wa kimataifa kuhusu usalama kati kati ya mzozo.