China kufuta mikopo ya nchi 17 za Afrika
Your browser doesn’t support HTML5
Nchi 17 za bara la Afrika ni miongoni mwa mataifa maskini yatakayofaidika na hatua ya China ya kuyasamehe mikopo isiyo na riba kufuatia shinikizo kwa mkopeshaji huyo mkubwa kusaidia baadhi ya nchi zinazokabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi.