Raia 3 wa Venezuela wadaiwa kujipenyeza katika mfumo wa uchaguzi wa Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Raia watatu wa Venezuela ambao ndio kiini cha madai ya wizi wa kura nchini Kenya huenda walijipenyeza katika mfumo wa uchaguzi wa nchi hiyo na hivyo basi kuchafua uchaguzi wa Agosti 9, ripoti ya uchunguzi wa kitaalamu kutoka mkurugenzi wa idara ya kufuatilia makosa ya Jinai imefichua.