Makombora ya Russia karibu na kiwanda cha nyuklia Ukraine yapelekea hofu
Your browser doesn’t support HTML5
Makombora ya Russia yalifyatuliwa katika miji ya Ukraine iliyo karibu na kiwanda cha nyuklia cha Zapori-zhzhia usiku kucha.
Maafisa wa eneo hilo walisema siku ya Jumapili, na kuongeza wasiwasi kwa wakaazi huku ripoti kuzunguka mtambo huo zikizidisha hofu ya maafa ya kuvuja kwa mionzi.