LIVETALK: Majadiliano ya masuala mbalimbali yaliyogonga vichwa vya habari wiki hii
Your browser doesn’t support HTML5
Kwenye Livetalk wiki hii tunajadili masuala mbalimbali, yakiwa ni pamoja na kesi iliyowasilishwa mahakamani nchini Kenya, kupinga matokeo ya uchaguzi wa Urais, Uchaguzi mkuu nchini Angola, shughuli za kuhesabu watu nchini Tanzania na Rwanda, na kusamehewa kwa mikopoiya wanafunzi wa Marekani.