Odinga awasilisha ombi la kupinga ushindi wa Rais mteule Ruto
Your browser doesn’t support HTML5
Aliyekuwa mgombea wa urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya, Agosti 9, Raila Odinga, na muungano wake wa Azimio, wamewasilisha hoja 23 kwenye mahakama ya juu, kutaka ushindi wa Dr. William Ruto ubatilishwe, kwa madai kwamba uchaguzi na hesabu ya kura vilijaa udanganyifu.
Anataka uchaguzi kurudiwa.