Wafuasi wa uhuru wa kujieleza Nigeria wapata wasiwasi
Your browser doesn’t support HTML5
Hayo yamejiri baada ya mahakama kuamua mwimbaji anayekata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kifo kwa tuhuma za kukufuru lazima kesi yake isikilizwe tena katika mahakama ya sharia.