Usajili wa wachezaji wa kutoka nje kwenye ligi za Afrika Mashariki wakosolewa
Your browser doesn’t support HTML5
Ongezeko la wachezaji kutoka nje wanaosajiliwa kushiriki katika ligi za Afrika Masahriki linatajwa kama kizingiti kikubwa kwa juhudi za kuwapa motisha wachezaji wa ndani ambao wanalalmikia hatua hiyo.