Wafanyabiashara DRC wasema Kiswahili kitakuza biashara nchi za SADC
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanaharakati na mfanyabiashara Josephine Malimukono anasema Kiswahili kinazungumzwa sana Mashariki mwa Congo hivyo nchi za SADC zikitoa kipaumbele kwa lugha hiyo zitakuwa na manufaa makubwa kwa jumuiya ya wafanyabiashara katika
eneo hilo.