Mkuu wa WHO asema mzozo wa Tigray ni janga baya duniani
Your browser doesn’t support HTML5
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, Jumatano amesema mgogoro katika jimbo la kaskazini mwa Ethiopia la Tigray ni mzozo mbaya wa kibinadamu na janga lililosababishwa na mwanadamu duniani.