MONUSCO yaiomba serikali ya DRC kulinda wafanyakazi wake
Your browser doesn’t support HTML5
Umoja wa mataifa kupitia mwakilishi wake nchini DRC Bintou Keita, umeomba serikali ya rais Felix Tshisekedi kulinda ofisi za Umoja wa mataifa pamoja na wafanyakazi wake wote nchini humo ambao wanatishiwa kushambuliwa tena na wananchi