Moto wazuka kanisani Misri na kusababisha vifo vya watu 41

Your browser doesn’t support HTML5

Maafisa wa Misri wamesema takriban watu 41 waliuawa na 14 kujeruhiwa Jumapili wakati moto ulipozuka ndani ya kanisa moja mjini Giza. Waumini 5,000 walikuwa ndani ya kanisa la Coptic Abu Sifin, katika mtaa wa Imbaba wakati moto huo ulipoanza.